Godfrey Mgimwa na Robby Mgimwa wakionesha hati yao ya ubunge baada ya kukabidhiwa leo, wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa jimbo la Kalenga uliofanyika jana.

Mbunge mteule wa jimbo la Kalenga Bw Mgimwa akiwa na nyuso ya furaha baada ya kutangazwa mshindi, huku akionyesha dole alama ya CCM.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: