Msanii wa kizazi kipya Linnah Sanga hatimaye ameamua kuweka wazi mpenzi wake katika ukurasa wake wa Istagram.

Haya ndiyo maneno aliyoyaandika msanii huyu.

Hii ni baada ya kuzushiwa maneno mengi kuwa amepachikwa mimba na mdosi, ambapo kwa upande wake alikanusha kwa kusema 'sina cha kuongea zaidi ya kuacha waseme ila ukweli ninao mwenyewe'
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: