ccm1Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakisherehekea ushindi jioni hii katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Iringa ambapo inaonyesha CCM wanaongoza kwa mbali katika matokeo ya awali kwenye uchaguzi wa mbunge wa jimbo la Kalenga uliofanyika leo mkoni Iringa watu wengi walijitokeza asubuhi kupiga kura na hali ilikuwa ni ya utulivu kabisa watu wengi waliopiga kura wameishukuru serikali na tume ya uchaguzi kwa kuandaa utaratibu mzuri na kufanyika kwa uchaguzi wenye utulivu. mpaka sasa matokeo hayo yanaonyesha CCM inaongoza kata sita kati ya kata kumi na tatu za jimbo hilo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LAKENGA) ccm2Wana CCM wakiendelea kuserebuka kwa muziki kama wanavyoonekana. ccm3Ni raha kwa kwenda mbele kweli ushindi ni raha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments: