Haijalishi ni kiasi gani unayaona maisha yako kuwa ni mabaya,..usikate tamaa ,kuna watu hawana viungo vyote vya mwili kama wewe, but Mungu Kakupa, unakula Milo miwili, mitatu hata mmoja kwa siku,lakini kuna mtu sehemu anatamani ale tu hata hicho unachokibakiza mezani. Kuna mtu hana kitu kabisa, ana fight japo aendelee kuishi tu. Usikate tamaa siku zote amka ukiwa na moyo wa kusamehe, kushukuru kwa kila jambo na zaidi,appreciate kwa chochote Mungu anachokubaliki, Zingatia... MAFANIKIO NI LAZIMA KWA KILA ANAYEFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU.
Home
Unlabelled
MAFANIKIO NI LAZIMA KWA KILA ANAYEFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU - DIAMOND
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: