Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amemtambulisha Godfrey ambaye ni mtoto wa Marehemu Dk. William Mgimwa, baada ya Kamati Kuu ya CCM kumpitisha, leo kuwania nafasi hiyo ya Ubunge.
Home
Unlabelled
MTOTO WA MAREHEMU WILLIAM MGIMWA AULA, GODFREY MGIMWA SASA KUTETEA KITI
CHA BABA YAKE KATIKA UCHAGUZI MDOGO KALENGA, IRINGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: