Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa maadili ya uongozi wa chama.
Home
Unlabelled
MEMBE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM, DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: