Usikose kuangalia kipindi cha 'The Mboni Show' kinachoruka leo Alhamis kuanzia saa 3 usiku ndani ya EATV, ambapo mablogger Shamim Mwasha wa 8020fashion blog (wa kwanza kulia), John Bukuku wa Fullshangwe Blog (wa pili), na Cathbert Angelo Kajuna wa Kajunason Blog pamoja na mwanadada machachali Mboni Masimba ambaye ni mwendeshaji wa kipindi, watakuwa wanazungumzia masuala mbali mbali ya maendeleo ya blog pamoja na mustakabali mzima wa mitandao ya kijamii.
Home
Unlabelled
MABLOGGER SHAMIM MWASHA, JOHN BUKUKU NA CATHBERT KAJUNA KUNG'AA LEONDANI YA THE MBONI SHOW...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kipindi kilikua bomba
ReplyDeleteSafiiii
ReplyDelete