Ehe! Juzi juzi nilpita katika mitandao mbali mbali nikakuta eti wameandika mwanadada Linah Sanga amepachikwa mimba na mdosi. Sasa cha kujiuliza ni kweli mrembo huyu anamimba maana leo Februari 24, 2014 muda wa saa tano kasoro usiku na kukutana na picha hii katupia katika mtandao wa instagaram alivyokuwa amevaa wakati akienda kwenye sherehe ya kuadhimisha kuzaliwa kwa msanii mwenzake Rachel, Chakujiuliza ni kweli anayo au ni chokochoko tu???
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: