Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi (katikati) akishirikiana na wasimamizi wa Duka jipya la Vodacom Sinza kumekucha Bw.Baraka Nyirenda wakwanza kushoto na Bw.Davis Mkonyi (kulia) wakikata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Sinza Kumekucha Dar es salaam.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa duka la Vodacom Tanzania wakigonganisha glasi za mvinyo ikiwa ni ishara ya kulitakia mafanikio duka hilo jipya lililopo Sinza kumekucha Jijini Dar es salaam mara baada ya kuzinduliwa rasmi.
Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(kulia)akimwelezea mteja wa kwanza Bw.Paul Mashauri ubora wa simu aina ya Huawei P-6 zinazopatikana katika duka la Vodacom lililopo Sinza kumekucha mara baada ya kuzinduliwa rasmi.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo sinza kumekucha jijini Dar e s Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya duka hilo kuzinduliwa rasmi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: