Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua Brass Band ya Chipukizi kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wana UVCCM baada ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Mwenyekiwa CCM (Visiwani) na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine waki imba wimbo wa mashujaa wakati wa ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akihutubia baada ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: