Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kuongea na vyombo vya habari mchana wa leo, kutoka Ikulu jijini Dar... fununu zilizolifikia dawati la Kajunason Blog inasemekana leo ndiyo leo ambapo rais atahutubia na kutangaza baraza jipya la Mawaziri.

Msomaji wa Kajunason Blog kaa tayari kusikiliza na kupata habari zitakazotokea Ikulu, Dar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: