Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (katikati) na Mshauri wa masuala ya Sarafu, Hassan Jarufu, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi yenye uzito ya g 16, kutoka kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (katikati) na Mshauri wa masuala ya Sarafu, Hassan Jarufu, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiitazama Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi yenye uzito ya g 16, baada ya kuipokea kutoka kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu hiyo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (kushoto) na Mshauri wa masuala ya Sarafu, Hassan Jarufu baada ya kukabidhiwa Sarafu maalum ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi yenye uzito wa g 16, baada ya kukabidhiwa Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014. Picha na OMR
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: