Mabondia Robinson Msimbe kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ayubu Ula wakati wa mpambano wao uliofanyika Kiluvya madukani katika ukumbi wa Shimbikati Ula alishinda kwa point mpambano huo.
 MABONDIA WAKIONESHABA UBABE WAKATI WA MPAMBANO ULIOFANYIKA KLUVYA MADUKANI KATIKA UKUMBI WA SHIMBIKATI.
Msanii wa mziki wa radha Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika ukumbi wa shimbikati kiluvya maduka mawili kabla ya mpambano wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi huo jana kulia ni mmoja ya nmashabiki wake.
Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa khang moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake.
Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa staili ya aina yake kama anavyo onekana.
SHABIKI AKIMTUNZA MNERNGUAJI WA KANGA MOJA.
MNENGUAJI WA KUNDI LA KANGA MOJA AKICHEZA KWA STAIL YA KIPEKEE BAADA YA KUAMUA KUCHEZA NA CHUPA.
KANGA MOJA WAKIFANYA VITU VYAO.
MASHABIKI WAKIMSHANGILIA BONDIA WAO ALIYESHINDA
KAZI YA KANGA MOJA IKIENDELEA KULINDIMA KATIKA UKUMBI WA SHIMBI KATI KABLA MPAMBANO WA MASUMBWI.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: