Leo majira ya asubuhi basi la kampuni ya Mtei ya Arusha limechomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada la basi hilo kumgonga mwendesha piki piki na kuua watu watatu hapo hapo maeneo ya Njia panda ya  mnadani Singida.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: