DSC_0024
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula, akifurahia jambo na CEO wa Kampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji Balozi alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar.
DSC_0029
Mh. Mohammed Dewji akimtambulisha Mshauri wa miradi ya Kampuni ya MeTL Group, Bw. Sudi Mwanasala (kulia) kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mh. Liberata Mulamula.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: