Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika
kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar
es Salaam leo Disemba 5,2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa
Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika mara baada ya kufungua
kongamano hilo leo Disemba 5-2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka mara baada ya kufungua kongamano la kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam leo Disemba 5,2013.
(Picha na OMR)


Toa Maoni Yako:
0 comments: