Wakulima 1000 katika wilaya ya Arumeru, Arusha walazimika kubuni aina mbadala ya kilimo cha mazao ya mboga mboga na wafanya biashara wakubwa na wadogo nchini kunufaika na mfumo mpya wa kielektroniki. Karibu jina langu ni Sophia Kessy...kiliza-habari

Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji EWURA waridhia ombi la Tanesco kuongeza bei ya umeme na wafanya biashara waitaka serikali kuongeza wigo wa ukaguzi wa bidhaa feki madukani. 

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: