Meneja wa Ubora wa Huduma kwa Wateja kutoka Tigo Bi. Mwangaza Matotola akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tuzo waliotunukiwa mwaka huu na shirika la utafiti ya huduma bora kwa wateja Social Bakers kama tuzo ya kutoa huduma bora kwa wateja kupitia mtandao wa Facebook. Akishikilia cheti ya tuzo hiyo ni Mtaalamu wa Mitandao ya Kijamii kutoka Tigo Bw. George Katoto. Wiki hii Tigo inajiunga na makampuni mengine duniani kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: