Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki akifafanua
jambo kwa huku Mhe. Fionnula Gislen, Balozi wa Ireland Nchini
akimsikiliza kwa makini wakati wa Mkutano wao Ofisini kwa Mhe. Kairuki.
Balozi wa Ireland Nchini Tanzania, Fionnula Gislen akichangia jambo katika mkutano wake na mwenyeji wake Mhe. Kairuki katika Ofisi yake jingo la Wizara ya Katika na Sheria.


Toa Maoni Yako:
0 comments: