Vikosi vya timu za Coco Beach na Ligula Fc vya Mtwara vikikabidhiwa jezi tayari kuanza pambano la kugombania Mbuzi lililoandaliwa na “Tigo Smile Tour” huu ni msafara utakaopita mikoa 23 na kata 204 huku ikizindua minara 209 mipya ambayo kampuni ya Tigo imewekeza nchi nzima.

Vikosi vya timu za Coco Beach na Ligula Fc mkoani Mtwara vikijiandaa kuanza mechi ya kugombania mbuzi wakati wa msafara wa “Tigo Smile Tour” mkoani Mtwara.
Kikundi cha sarakasi cha Spider kikitoa burudani ya aina yake wakati msafara wa “Tigo Smile Tour” Bukoba mjini, huu ni msafara utakaopita mikoa 23 na kata 204 huku ikizindua minara 209 mipya ambayo kampuni ya Tigo imewekeza nchi nzima.



Toa Maoni Yako:
0 comments: