Bibi Harusi Jackrine Ngongoseke akiingia kanisani huku akiwa ameshikiliwa mkono na mzazi wake, kabla ya kwenda kukabidhiwa kwa mumewe. Ndoa ya Jacob Yona na Jackrine Ngongoseke ilifungiwa katika bustani ya Shekina, Mbezi Beach jijini Dar.
Bwana Harusi Jacob Yona na Bi. Jackrine Ngongoseke wakiwa kanisani.
Wageni wakifuatilia ibada.
Bwana Harusi Jacob Yona na Bi. Jackrine Ngongoseke wakiwa kanisani pamoja na wasimamizi wao.
Paroko wa kanisa la St. Peter's, Padre Kayombe akiongoza misa ya ndoa ya Jacob Yona na Jackrine Ngongoseke ilifungiwa katika bustani ya Shekina, Mbezi Beach jijini Dar.
Madhari nzuri ya bustani ya Shekina, Mbezi Beach jijini Dar.
Paroko wa kanisa la St. Peter's, Padre Kayombe akiwafungisha ndoa Jacob Yona na Jackrine Ngongoseke.
Jacob Yona kimvalisha pete mkewe Jackrine Ngongoseke.
Jackrine Ngongoseke akimvalisha pete mumewe Jacob.
Maharusi wakipongezana.
Showlove kwa maharusi.
Maharisi wakifuatilia ibada.
Mbunge wa Same, Mama Anna Kilango (wa tatu kulia) akiwa na Mumewe John Malecela.
Mbunge wa Same, Mama Anna Kilango akiteta jambo na Mumewe John Malecela.
Mipango ikipangwa kwa wasimamizi.
Wasimamizi nao wakifuatilia ibada ya ndoa.
Kwaya ya Victory toka Kanisa la St. Peter's.
WanaUmoja Famili nao hawakuwa nyuma kushuhudia mwenzao alipokuwa akifunga ndoa takatifu.
Paroko akiwabariki maharusi.
Bi. Harusi akiimba pamoja na kwaya.
Kila mmoja akiweka kumbukumbu.
Bi. Harusi akisaini cheti.
Paroko Kayombe akiwapa cheti.
Maharusi wakionyesha vyeti yao mara baada ya kufunga ndoa takatifu.
Marafiki wakiwa pamoja na maharusi.
Furaha na vifijo.
Bwana Harusi akiwa na wazazi wake.
Showlove ya wanaUmoja familia.
Mmiliki wa Kajunason Blog nae hakuwa nyuma katika kushow love na wanaUmoja Familia.


Toa Maoni Yako:
0 comments: