Jana Jumamosi ya Tarehe 5.10.2013 ndugu Donald Byakwaga na Mkewe Selina walitimiza Mwaka mmoja wa ndoa, na kufanya sherehe fupi nyumbani kwao Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Tunawatakia maisha mema na yenye baraka.
Wakikata keki.
Mc wa shughuli hiyo, Mchungaji Samweli akitoa machache.
Bwana Donald akimlisha keki mkewe Selina.
 Wageni waalikwa.
 
Pongezi.
Mama mdogo wa Bwana Harusi, Mama Cresensia akitoa zawadi.
Mrs CA nae alikuwepo katika kutoa zawadi,
Wakishukuru na kuomba kwa pamoja.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: