Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu(kulia)akimkabidhi kombe la Udhamini Mkuu wa Maonesho ya wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji,Mkuu wa Idara uendelezaji biashara ya M - Pesa wa Vodacom Tanzania, Jackson Kiswaga(Kushoto) wakati wakufunga maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa wiki.
Home
Unlabelled
WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU AIPONGEZA VODACOM KWA KUWA NA DHAMIRA YA DHATI YA KUDHAMINI MAONESHO YA KIFEDHA NCHINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: