| Wana kikundi cha Cash Money wakiwa tayali kwa kutoa msaada katika hospitali ya Temeke |
| Mlezi wa Kikundi cha Cash Money ,Ratifa Masasi kulia akimkabibi muhuguzi wa wodi ya watoto bi, Nuswe Ambokile zawai mbalimbali walizoleta kwa ajili ya watoto waliolaza katika hospital ya Temeke |
| Baadhi ya wana kikundi cha Cash Money wakiwa katika picha ya pamoja na wahuguzi wa word ya watoto Hospitali ya temeke baada ya kukabidhi msaada |
| Mlezi wa kikundi cha Cash Money akimfaliji mama Samir Nassoro, Naomi Ramadhani walipokutana wakati kundi hilo likitoa msaada kwa wagojwa katika hod ya watoto |
| Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Cash Money wakimfariji Bi Naomi Ramadhani |
| Msanii wa bendi ya Msondo ngoma Saddy Ally katikati akisalimiana na wanakikundi cha cash money walipokutana katika hospitali ya Temeke wakitokea kutoa msaada |
| Wana kikundi wa chass money kushoto Amina Uredi 'Mmanyema ' na Zulfa Kasongo |


Toa Maoni Yako:
0 comments: