Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh.Baraka Konisaga
akimkabidhi simu mshindi wa smart card bw. Jackson Kaheza(24)
iliyotolewa na kampuni ya simu ya mkononi Tigo, makabidhiano hayo
yalifanyika wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Tigo jijiini Mwanza
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh.Baraka Konisaga akimkabidhi kadi ya
kipaumbele ya Tigo bw. Issa Mikidadi mkazi wa Nyamagana wakati wa
uzinduzi wa tawi jipya la Tigo mkoani Mwanza.
Mtaalam wa Huduma kwa Wateja wa Tigo bw. Jackson Jerry akimkabidhi kadi
ya kipaumbele ya Tigo mkuu wa wilaya ya Nyamagana mh. Baraka Konisaga
wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Tigo jiji Mwanza.
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh.Baraka Konisaga akiwa kwenye picha ya
pamoja na washindi wa kadi za kipaumbele za Tigo na maofisa wa kampuni
ya simu ya mkononi Tigo, wakati wa uzinduzi wa tawi jipya jijini Mwanza.
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh. Baraka Konisaga akikata utepe kufungua
tawi jipya la kampuni ya simu ya mkononi Tigo lililofunguliwa mkoani
Mwanza anayeshuhudia ni Bi. Mwangaza Matotola Meneja Ubora wa Huduma kwa
Wateja Tigo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: