Meneja Masoko na Mauzo wa kampuni ya push Push Media Mobile Rugambo Rodney akimkabidhi namba ya gari/funguo mshindi wa kwanza wa gari aina ya Vitz iliyoendeshwa na kampuni hiyo kwa mashabiki wa fiesta Kigoma. Rugambo alisema kuwa baada ya kugawa zawadi hiyo Kigoma, sasa wanaelekeza nguvu zao zote Tabora ambapo watatoa fedha taslim na pikipiki. (Picha/Mpigapicha wetu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: