Meneja wa Airtel mikoa ya kusini Beda Kinunda akimkabidhi funguo ya nyumba mshindi wa nyumba ya kwanza ya Airtel Yatosha jana kutoka Frelim mjini Iringa Bw Sylivanus Juma Wanga wanaoshuhudia ni mke wa mshindi Bi Veronica Wanga na Meneja uhusiano wa Airtel Bw Jackson Mmbando.
Meneja uhusiano wa Airtel Bw Jackson Mmbando akimkabidhi cheti cha ushindi wa nyumba ya kwanza ya promosheni ya Airtel yatosha Bw Sylivanus Juma Wanga ambae ni mkazi wa Frelimo Iringa katikati ni
mke wa mshindi huyo Bi Veronica Wanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: