Mshauri wa Radio Jamii kutoka UNESCO Rose Haji Mwalimu akifafanua umuhimu wa mafunzo hayo ya Ujasiriamali kwa Redio za kijamii kwa washiriki ambayo yatawajengea uwezo wa kuboresha vipindi vyao na kufanikisha kupata wadhamini ili kumudu gharama za uendeshaji wa vituo vyao. Warsha hiyo imeshirikisha radio 9 za jamii zinazotekeleza mradi wa kuziwezesha Redio hizo masuala ya TEKNOHAMA
unaoratibiwa na Shirika la UNESCO chini ya udhamini wa SIDA. Warsha
hii ni mwendelezo wa mafunzo ya Ujasiriamali katika Redio za jamii
chini ya mradi huo.
unaoratibiwa na Shirika la UNESCO chini ya udhamini wa SIDA. Warsha
hii ni mwendelezo wa mafunzo ya Ujasiriamali katika Redio za jamii
chini ya mradi huo.
Mshauri Mwelekezi masuala ya utawala bora Bw.
Wilbert Kitima akiendesha mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii
yanayofanyika Kayanza, Karagwe Bukoba.
Wilbert Kitima akiendesha mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii
yanayofanyika Kayanza, Karagwe Bukoba.
Pichani juu na chini ni baadhi ya washiriki
kutoka Redio za jamii 9 ambazo zinazotekeleza mradi wa SIDA
unaoratibiwa na Shirika la UNESCO nchini wakichangia mawazo yao namna
ya kutengeneza mpango mkakati wa biashara kwa ajili ya kumudu gharama
za uendeshaji wa Redio zao.

Washiriki wakiendelea kupata
mafunzo.
mafunzo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: