Bango linalokukaribisha katika soko la samaki Kirumba Mwaloni, Mwanza.
Samaki ambao wameshachambuliwa... Wao huwaita mapanki
Dagaa wakiwa wamechambuliwa na kuanikwa daraja la kwanza ambapo kwa sasa debe linaunzwa kwa shilingi elfu kumi (10,000/-) toka kwa bei ya zamani ambayo ilikuwa ni shilingi elfu tano (5,000/-).
Dangaa wakichambuliwa kwa ajili ya kupakiwa ili wasafirishwe.
Mwanaume kazini...
Aha! hata vizuia moto vipo eneo la Soko hili ila japo lililonishangaza wananchi hao walisema kuwa hawana uelewa wa utumiaji wa dhana hizo.
Wengine walishafanya biashara wameamua kuondoka kurudi makwao.
Wale wa visiwani wakiaga jiji la Mwanza.
Viatu vya kazi wakati wa ushindiliaji...
Kazi ya ushindiliaji wa dagaa kwenye magunia unaendelea, ambapo kwa sasa gunia hilo la debe 10 huuzwa kwa shilingi 100,000/-
Wanaume kazini...
Akizungumza na mtandao wa Kajunason Blog mara baada ya kutembelea soko hilo, mmoja ya wafanyabishara alisema soko la samaki limepanda sana kutokana na hali ya hewa ambalo iliyopo kwa sasa na kusababisha uzalishaji mdogo. "Ndugu mwandishi hali ya samaki kwa sasa ni ngumu bora zimeanza kurudi na kuanza kuonyesha matumaini japo si kwa kiwango kikubwa,".
DUh! kaazi kwelikweli bila dagaa..maana hii ni mboga ya haraka kwetu---kama gunua ni 100,000 je kila itakuwa shilingi ngapi?
ReplyDeleteNataka kujua Bei ya daga kwa mwaka hu 4_11_2019
ReplyDelete