Vanessa “akitabasamu na Tigo” baada ya kumaliza kujibu maswali ya washabiki mtandaoni katika Tigo Twitter Celeb Chat ambayo inafanyika mara moja kila mwezi.
 Vanessa Mdee akipata maelezo kutoka kwa Athanasius Muhanuzi - Meneja wa Dijitali kutoka Tigo. Kutoka kushoto ni Amani Nkurlu Meneja Mawasiliano wa Tigo, George Katoto Mtalaamu wa Mitandao ya Kijamii na Silvanus Makoko Afisa Msaidizi kutoka huduma kwa wateja Tigo.
Vanessa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: