Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga akiongea na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na Chama cha Mashua Tanzania ambayo yamedhaminiwa na kampuni ya Tigo kupitia huduma ya Tigo Pesa pamoja na Clouds FM. Mashindano hayo yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kulia ni Afisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), John Chaluku
Afisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), John Chaluku, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya jahazi yatakayofanyika Juni 9, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Mahusiano Clouds FM, Simalenga Simon.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiudhuria mkutano huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: