Marehemu Jaji Khamisi (Kashi)
Habari iliyotufikia msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na wasanii kama mzee masinde, samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu na mingine mingi Amefariki dunia katika hosptali ya taifa ya muhimbili alikokuwa amelazwa.

 Akizungumza na raisi wa shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na majanga.

Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema pepponi Amini.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: