Taarifa zilizifikia dawati la Kajunason Blog zimesema kuwa Msanii wa Muziki wa Hip Hop, Langa Kileo Almaarufu kama Langa ambaye alishawahi kuwa katika kundi la WAKILISHA amefariki dunia muda mfupi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. 

Msanii Langa amekutwa na umauti huo jioni ya leo alipokuwa amelazwa tokea jana baada ya kushikwa na Malaria kali.

Taarifa zaidi tutawaletea kadili muda utakavyokuwa unaenda.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: