Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Mh.Seif Rashidi akisaini kitabu cha kukaribishwa kwenye maadhimisho ya siku ya damu salama wilayani Musoma. 
 Wanafunzi wa shule za Mwisenge, Mtakuja na Kamnyonge Manispaa ya wilaya ya Musoma wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya damu salama duniani, Kampuni ya simu za mkononi Tigo walikuwa wadhamini wa mpango huo.
 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Mh.Seif Rashidi akikaribishwa na meneja waTigo kanda ya ziwa bw. Joseph Mutalemwa kwenye maadhimisho ya siku ya damu salama wilayani Musoma.
Walimu wa wa shule za Mwisenge, Mtakuja na Kamnyonge Manispaa ya wilaya ya Musoma wakisubiri kutoa damu kwenye maadhimisho ya siku ya kuchangia damu salama yaliyofanyika mwishoni mwa wiki wilayani Musoma mkoani Mara, Mpango huo ulidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi Tigo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: