Hatimaye msanii wa muziki wa kizazi kipya Hamis Ramadhan Baba ambaye kwa jina la kujitafutia mkate wake wa kila siku anaitwa 'H. Baba' ameamua kung'oa mzizi wa fitina kwa kukamilisha kufunga pingu za maisha na msanii wa Bongo Movie, Bi. Flora Mvungi ambaye amebadili jina na sasa atakuwa akiitwa Khadija Festo Mvungi. Chereko chereko hizo zilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: