Meneja huduma kwa jamii wa Airtel Hawa Bayumi akiongea wafanyakazi wa afya wa mradi wa millenium village wakati akikabithi simcards 240 zitakazowasaidia wafanya kazi hao kuwasiliana kwa bei nafuu na kutoa huduma kwa wakazi wa Mbola Tabora.akishuhudia ni Mkurugenzi wa mradi huo Dr Gerso Nyadzi na wafanyakazi wengine wa mradi huo.
Meneja Huduma za Jamii wa Aitel Tanzanaia- Hawa Bayumi akikabidhi SIM card 240 za mtandao huo kwa Meneja Mkuu wa Mradi wa Millenium Village ulioko Mkoani Tabora- Dr Gerson Nyadzi. Mradi huu unalenga katika kuboresha huduma za afya na elimu vijijini kupitia technolojia ya mawasiliano. Kulia ni afisa mauzo wa Airtel kanda ya ziwa Charles Elisante, na Meneja wa Airtel money kanda ya ziwa Violet Gyumi. Hafla ya makabidhiano ilifanyika mkoani Tabora.
Toa Maoni Yako:
0 comments: