Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando Akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya timu zinazoshiriki mashindao ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kushoto) akikabidhi vifa vya michezo kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Sunday Kayuni na Mwenyekiti wa DRFA Almasi Kasongo kwa ajili ya timu zinazoshiriki mashindao ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu.hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika ukumbi wa mikutano wa TFF leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: