Magari yakiwa yamepakiwa uwanja wa mpira wa Kinondoni Biafra jijini Dar es Salaam ambapo kwa sasa uwanja huo umebaki kuwa ni sehemu ya kupaki magari na kuoshea.
Maji yakiwa yamejaa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Uwanja umekuwa ni sehemu ya kutupia taka taka.
Hali ni mbaya, kwa sasa uwanja huu umekuwa ni sehemu ya kufugia mazalia ya mbu.
Vijana nao wametega maji yatuame kwa ajili ya kuoshea maji.
Balaa tupu, wahusika wamelala?? au wapo wapi?? Mbona haya yote yanafanyika lakini wahusika wamefumba macho???
Toa Maoni Yako:
0 comments: