Paroko akimpa pole Bwana Tony ambaye amefiwa na mkewe Flora Mosha aliyefariki kwa ajali tarehe 14.5.2013 huko Manyoni, Singida. Mwili wa Marehemu umeagwa leo Goba jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kwenda kuzikwa Moshi. Mume wa marehemu ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania na mpaka umauti unamkuta marehemu mkewe alikuwa ni mfanyakazi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
 Mwili wa Marehemu ukipelekwa kwa ajili ya ibada, ukiongozwa na Mume wa Marehemu Tonny (kulia).
 Waombolezaji waliojitokeza katika msiba huo.
 Jeneza la Mwili wa Marehemu.
 Paroko akihubiri katika ibada ya kumuaga marehemu Flora Mosha.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye akitoa machache kumuelezea mfanyakazi wao aliyefariki.
Baba mzazi wa Tonny mzee Mosha akitoa shukrani kwa ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria katika kifo cha mkwewe.
Paroko akiomba.
Mume wa Marehemu Bwana Tonny akimfunika marehemu mkewe tayari kwa kusafirisha kwenda kuzika mjini Moshi.
Akisimamia ufungaji wa jeneza.
Mume wa Marehemu akiongoza na msalaba.



Akisalimia na marafiki.

Gari tayari kwa safari.
Waombolezaji wakiiaga wasafiri waliokuwa wanaokwenda kuzika.
Wafanyakazi wa Airtel waliungana kumfariji mfanyakazi mwenzao Bwana Tonny ambaye amefiwa na mkewe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: