Mwili wa marehemu Goodluck Fredrick Makuri ukitolewa kwenye gari kuingizwa nyumbani kwake, tayari kwa kuagwa na kupelekwa mjini Moshi ambao leo ndiyo  maziko yanafanyika kule. Marehemu Goodluck Fredrick Makuri alifariki wiki iliyopita kwa ajali ya pikipiki mjini Bagamoyo na kufariki akiwa njiani kupelekwa Muhimbili hospitali jijini Dar.

Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu wakiwa wamebeba jeneza la marehemu.




Mwili wa marehemu ukiwa  umeingizwa ndani.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wamekaa kwa majonzi.
Mchungaji akiomba kabla ya kuwaruhusu watu waingie kumuaga.

Marafiki wakiwa katika nyuso za majozi wakati wakimuaga marehemu Goodluck Fredrick Makuri.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: