Pamoja na kusema kuwa vijana wajiajili ila si kila sehemu unapaswa kufanya biashara yako, pichani  unaweza kuona vijaa wanavyochakarika wengine wanauza samaki, nguo na wengine wanauza maji jambo ambalo si baya ila jiulize sehemu wanapofanyia biashara zao ni salama??? Hapa walikutwa na kamera ya Kajunason Blog maeneo ya Barabara ya Samora nje ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakiendesha biashara yao bila ya woga wowote. Je wahusika mnaosimamia sheria mpo??? au mnaishi kukamata magari yanayopaki sehemu ambazo si salama pekee (wrong parking).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: