CHANZO, ATHARI NA SULUHISHO LAKE
Wanaume wengi wanasumbuliwa na tatizo la ukosefu/ upungufu wa
nguvu za kiume, hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za
kitaalamu. Hapa kwetu hususani katika maeneo ya mijini, katika
kila wanaume kumi wanao tembelea barabarani angalau watatu kati
yao wanakabiliwa na tatizo la upungufu/ ukosefu wa nguvu za
kiume, wamewahi kukabiliwa na tatizo hilo ama hawana uhakika kama
wanazo nguvu za kiume za kutosha. Tunazo shuhuda nyingi sana
za watu wanao sumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume ambao
wanakuja kupata tiba na ushauri kituoni kwetu lakini kwa
sababu za ki-ethics hatutoweza kuzipublish hapa mtandaoni, ila
kiukweli tatizo la upungufu ama ukosefu wa nguvu za kiume
lisipo tafutiwa ufumbuzi wa kina, linaweza kuwa na athari kubwa
sana kwa muhusika katika maisha yake yote.
Ukosefu wa nguvu za kiume ni nini?
Ni hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya/ kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha..
Mwanaume mwenye nguvu za kiume ni yupi?
Mwanaume mwenye nguvu za kiume ni yule mwenye uwezo wa kufanya/ kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.
CHANZO CHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Kwa ufupi sana, hizi ni baadhi ya sababu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume.
1. Msongo wa mawazo
2. Ulevi kupita kiasi.
3.Kupooza kwa mwili
4. Presha na ugonjwa wa kisukari.
5.Wasiwasi wa kutekeleza tendo la ndoa
6. Uoga wa kufanya tendo la ndoa.
7.Uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyumaa
8.Chango la kiume.
9. Kuugua ugonjwa wa ngiri
10. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa.
11. Ulaji mbovu wa vyakula haswa haswa ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi kupita kiasi.
12. Kufanya masturbation kwa muda mrefu n.k
ATHARI ZA UPUNGUFU / UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Ukosefu ama upungu wa nguvu za kiume una athari nyingi sana, zifuatazo ni baadhi ya athari za ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume.
1. Kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi.
2. Kuvunjika kwa ndoa.
3. Kujiua : Baadhi ya wanaume hufikia uamuzi wa kujiua baada ya tatizo kuwa kubwa na kutumia dawa za aina mbalimbali bila mafanikio.
4. Upungufu wa nguvu za kiume huongeza chachu ya maambukizi ya v.v.u kwa wanandoa.Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linapokuwa sugu, hupelekea rafiki wa kike/ mke wa mwanaume anaye sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, kutoka nje ya ndoa kwa ajili ya kutimiziwa haja zake za kimwili, mwisho wa siku mwanamke huyo huweza kumletea magonjwa mume wake mwenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokutana kimwili katika hali hiyo hiyo ya kutoridhishana
5. Ulevi kupita kiasi ; Wakati mwingine wanaume wanao sumbuliwa na tatizo hili, huamua kuwa walevi kupita kiasi ili angalau kupunguza mawazo.
Kwa ufupi ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana ambalo endapo halitatafutiwa usumbufu na muhusika linaweza kuyaathiri maisha ya muhusika kwa kiasi kikubwa sana.
SULUHISHO LA UPUNGUFU/ UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Zipo dawa za asili za aina mbalimbali ambazo zimethibitika kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume, kwa leo tutaelezea kuhusu vitu vitatu ambavyo endapo vitatumiwa kwa pamoja basi vinaweza kumaliza kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na kukufanya uwe fit kama dume la simba, na ngangari kama livyokuwa wakati una balehe.
.1. KORODANI ZA JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA
Picha ya korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa. |
Korodani za kuku ni dawa nzuri sana ya nguvu za kiume, na
imekuwa ikitumiwa na mababu zetu tangu enzi na enzi, vijana wa
siku hizi hawajui ukweli huu kwa sababu wana kasumba ya
kudharau vitu vya asili.
MATAYARISHO :
1. Tafuta JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA ..Nimeweka msisitizo hapo kwenye neno " Jogoo Wa Kienyeji Aliyekomaa " kwa sababu najua kuna watu wanaweza kuchukua kuku wa kizungu, ama jogoo ambaye hajakomaa. Kamwe usifanye kosa hilo na usithubutu kabisa kutumia korodani za kuku wa kizungu. Kama haujui jogoo aliyekomaa ni yupi, uendapo kwa muuzaji wa mwambie akusaidie kupata jogoo aliyekomaa.
2. Unga wa HABBAT SAWDA au Unga wa MJAFARI robo kilo.
3. Andaa kisaani ambacho utakitumia kuweka korodani zako baada ya kumchinja kuku.

NAMNA YA KUFANYA :
1. Mchinje jogoo wako kisha mpasue kwa ajili ya kutoa korodani zake. Unapozitoa korodani za jogoo wako hakikisha unafanya bila korodani zako kupaa damu ila kama ikitokea bahati mbaya korodani zako zikigusana na damu, unaweza kuzisafisha lakini inashauriwa zaidi uzitoe korodani zako bila korodani hizo kugusana na damu. Kuna namna ambayo ukifanya, korodani haziwezi kugusana na damu wakati unazi toa. ( N.B: Korodani za jogoo unapozitoa, huwa kama mayai na haziwi na damu damu kama unavyo weza kudhania)
2. Chukua unga wa HABBAT SAWDA (Tamka HABAT SODA) au unga wa MJARIFU kiasi cha robo kiganja na kuutia kwenye kisahani chako.
3. Baada ya kuzinyofoa korodani hizo za kuku, ziweke juu ya kisahani chako ambacho juu yake umeweka unga wa HABBAT SAWDA ama unga wa MJARIFU na kufanya kama unazi biringisha biringisha hivi ili kuzichanganya.
4. Chukua korodani zako zote mbili , moja baada ya nyingine weka kinywani, meza na maji kama vile unavyo meza dawa. Hapo zoezi lako litakuwa limekamilika.
Hautakiwi kumeza zaidi ya korodani mbli, korodani mbili tu zinatosha sana, ila kama utataka kuwa na nguvu mara dufu unaweza kuwa unafanya zoezi hili kila mwezi, mra moja kwa wiki, mara mbili kwa wiki ama kila siku, kwa kadri unavyo jiweza .Endapo utafanya zoezi hili mara kwa mara basi nguvu zako zitakuwa sio za kawaida.
KAZI YA KORODANI ZA KUKU : Zitakufanya uwe na nguvu za ajabu na wala usichoke kufanya tendo la ndoa, unaweza kufanya tendo la ndoa hata mara nne, bila ya kuchoka na utakuwa unajisikia upo ngangari muda wote, sana sana labda ukose pumzi ama uchoke kiuno, but nguvu za kiume, utakuwa safi sana..
2. SUPU YA KORODANI ZA MBUZI : Korodani za mbuzi zinapatikana maeneo kama vile machinjioni n.k na zinapztikana kwa bei nafuu sana. Chukua korodani zako za mbuzi, zitumie kutengeneza supu kishs kunywa supu yako pamoja na korodani hizo za mbuzi ambazo zinakuwa zimekwisha wiva. Ukifanya hivi angalau mara moja kwa wiki kwa muda wa mwezi mmoja, amini ninacho kwambia, utakuwa vizuri sana. Kama hauna nafasi au muda wa kutengeneza supu unawezan kwenda katika maeneo ambayo wanatengeneza supu ama wanauza mbuzi choma na kuweka oda wakutengenezee supu ya korodani za mbuzi. ..Mgahawa wa wazi uliopo katika eneo la Sinza Afrika, sana ni maarufu kwa kutengeneza supu ya korodani za mbuzi, unaweza kutafuta muda ukaenda hapo kwa ajili ya kujipatia supu ya korodani za mbuzi ambayo hujulikana zaidi kama " ASHUSHI "
3. DAWA YA ASILI IITWAYO " JIKO " : Dawa hii imebatizwa jina la "Jiko " kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuwasaidia wanaume kuyalinda majiko yao. Ni dawa safi sana na yenye nguvu za ajabu. Ni dozi ya siku kumi na mbili tu ambayo inaanza kuonyesha matokeo baada ya wiki mbili. Dawa hii inafanya mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuimarisha mishipa ya uume uliolegea ama uume ulioingia ndani, inaongeza hamu ya tendo la ndoa maradufu, inakufanya uweze krudia tendo mara nne bila ya kuchoka ( labda uchoke kiuno au pumzi ), na inakupa uwezo wa kukaa juu ya kiuno kwa muda mrefu .
Endapo utatumia vitu vyote vitatu, kama vilivyo orodheshwa hapo juu, yaani korodani za kuku, supu ya korodani za mbuzi pamoja na "Jiko" au "Nguvu Kazi" kwa jina lingine. Kuwa na uhakika kwamba tatizo lako la upungufu ama ukosefu wa nguvu za kiume, litakuwa limekwisha kabisa ndani ya mwezi mmoja wa kutumia dozi yako.
N.B : Dawa hii ni kwa ajili ya watu waliopungukiwa ama kuishiwa nguvu za kiume ambao wamewahi kuwa na nguvu za kiume, dawa hii haiwezi kumsaidia mtu ambaye amezaliwa akiwa hana nguvu za kiume.( Hanithi ). Zipo tiba za asili kwa ajili ya watu hao, tutandika makala kuhusu tiba hiyo siku za usoni.
Kama unahitaji kupata dawa ya " Jiko " wasiliana nasi kwa simu : 0767010756 AU 0766538384 NEEMA HERBALIST AND NUTRITIONAL FOODS CLINIC. AU fika katika ofisi zetu zilizopo katika eneo la CHANGANYIKENI karibu na Chuo Cha Takwimu.

Toa Maoni Yako:
0 comments: