Bwana Imani Ntila na Bi. Yvonne Mhando leo tarehe 19/05/2013 wameadhimisha mwaka mmoja tokea wamefunga ndooa yao takatifu. Akizungumza na Kajunason Blog, Bw. Ntila alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwafikisha siku ya leo, ni wengi walitamani kufika ila kwa mapenzi ya mwenzi Mungu hawajafika.
Bwana Imani Ntila na Bi. Yvonne Mhando wakiwa na wapambe wao mara baada ya kufuna ndoa yao tarehe 19/05/2012 ambapo leo wametimiza mwaka mmoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments: