Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliohudhuria katika maadhimisho ya Miaka 49 ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar yaliyofanyika leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Raisi Jakaya Kikwete akikagua gwaride.
Gwaride likipita mbele ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete.










Toa Maoni Yako:
0 comments: