Wanafunzi waliosoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' Wasiwasi Mwabulambo (liyeshika mpira) akichuana na wanafunzi wa sasa wanaosoma shule hiyo. Mashindano hayo yalifanyika katika Maadhimisho ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi waliowahi kusoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' Balozi Kindamba (kulia mwenye mpira) akijaribu kumpita mchezaji wa Mwanafunzi wa Jitegee sasa.
Wanafunzi waliosoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' wakiwa katika picha ya pamoja.
Shangwe na vigeregere vilitawala.
Golikipa wa timu ya Wanafunzi waliowahi kusoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' Wasiwasi Mwabulambo akiwa ameudaka mpira katika mechi yao na wanafunzi wanaosoma sasa... 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION walishinda bao 3-0.
Mpambano ulikuwa niwa kukata na mundu.

Wanafunzi wakifuatilia.
Wanafunzi washule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari wakifuatilia gwaride katika Maadhimisho ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION'
yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi waliosoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari
'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' wakiwa katika gwaride la utambulisho katika Maadhimisho ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION'

Gwaride limeiva... likiongozwa na Afande Fredy.
Mwendo wa harakaaaaa...
Mkuu wa Mkoa wa Bukoba, Fabian Masawe akisalimiana na walimu ambao walishawahi kufundisha kipindi yeye akiwa mkuu wa shule ya sekondari ya Jitegemee.
Wanafunzi
waliosoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari 'JITEGEMEE ALUMNAE
REUNION' wakiwa katika gwaride la utambulisho huku wakiimba wimbo wa
shule katika Maadhimisho ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' yaliyofanyika
shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Bukoba, Fabian Masawe akiimba wimbo wa shule ya sekondari ya Jitegemee katika gwaride la utambulisho katika 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi
waliosoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari 'JITEGEMEE
ALUMNAE REUNION' wakiwa katika gwaride la utambulisho huku wakiimba
wimbo wa shule katika Maadhimisho ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION'
yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Bukoba, Fabian Masawe ambaye alishawahi kuwa mkuu wa shule ya sekondari ya Jitegemee akikagua gwaride la
Wanafunzi waliosoma shule ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari
'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' wakiwa katika Maadhimisho ya 'JITEGEMEE
ALUMNAE REUNION' yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mkoa wa Bukoba, Fabian Masawe ambaye alishawahi kuwa mkuu wa shule
ya sekondari ya Jitegemee akikagua gwaride la Wanafunzi waliosoma shule
ya Sekondari ya Jitegemee Sekondari 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' wakiwa
katika Maadhimisho ya 'JITEGEMEE ALUMNAE REUNION' yaliyofanyika shuleni
hapo jijini Dar es Salaam.

Si mchezo - thx for these images Kajuna!! I missed out
ReplyDelete