Hili ni soko ambali si rasmi la Kariakoo pembeni mwa barabara ambao wafanyabiashara hawa wamekuwa wakipanga bidhaa zao pembezoni mwa barabara licha ya kuwepo na hali ya matope na uchafu uliopo.
Akinamama wakiwa wamepanda bidhaa zao.
mzee akiwauzia akinamama njegere...
Bidhaa zikiwa zimepandwa chini kwenye mifuko na mikeka.
Hii ndiyo hali halisi licha ya eneo wanalouzia bidhaa, ambapo zimepangwa pembezoni mwa mtaro wa maji machafu.









Toa Maoni Yako:
0 comments: