
Kila mmoja akiwa amevalia kitamaduni za Afrika.

Kitenge kimechukua nafasi yake.
Tabasamu la furaha nalo lilitawala.

Mitindo tofauti ilionekana.



Kila mmoja hakutaka kupitwa.



Picha za Hafla ya Siku ya Wanawake, (Women's Celebration 2013)
iliondaliwa na kampuni ya 8020 Fashions, iliofayika jioni ya leo kwenye
ukumbi wa Diamond Jubilee VIP, jijini dar. Hafla hiyo imefanyika ikiwa ni
mwelekeo wa kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani takayoadhimisha Machi
8 Duniani kote. Shukrani Miss Popular



Toa Maoni Yako:
0 comments: