Waziri mkuu Waziri mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi tuzo ya shukrani mkurugenzi wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez kwa ajili ya mchango wao katika kuwaletea wananchi huduma ya sms ambayo itawawezesha wananchi kujua hali za figo zao popote walipo kupitia simu zao za mkononi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: