Wajumbe wa mkutano pamoja na waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Kamati ya Maudhui toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania uliofanyika leo ukumbi wa Hotel Gold Crest mkoani Mwanza.
Makamu mwenyekiti wa Bodi ya Kamati ya Maudhui toka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Mzee. walter Bugoya akiongoza mkutano wa ziara ya kamati hiyo uliofanyika leo ukumbi wa Hotel Gold Crest mkoani Mwanza, pichani wengine kuanzia kulia ni Bi. Eunice Mabagala, Eng. Lawi Odiero ambaye ni meneja wa kanda, Bw. Abdul Ngalawa (mjumbe), na mwisho kabisa ni Joseph Mapunda (Mjumbe). (Picha na Albert G. Sengo, Mwanza).
TCRA YATAHADHARISHA UKIUKWAJI WA MAUDHUI KATIKA VYOMBO VYA HABARI KUNI -
Toa Maoni Yako:
0 comments: