Papa Francis 1 akiwahutubia waumini wa dini ya kikristo wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake katika nafasi hiyo.Akivalishwa peteAkimbeba mtoto
Papa akiwa katika gari aina ya Mercedes Benz G-Class SUV wakati akipita kwenye viunga vya Kanisa la Mtakatifu Petro mjini Roma.
Umati mkubwa wa watu waliohudhuria tukio hilo leo.
Rais wa Zimbabwe, Mzee Robert Mugabe pamoja na mkewe Grace nao walikuwepo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: